754 Views

Bahati Ft Nadia Mukami – Pete Yangu Lyrics

Spread the love

Bahati Ft Nadia Mukami – Pete Yangu Lyrics

(EMB Records)
Nadia na Bahati tena
Mi si lover boy incase you dont know
Si lover boy oooh no
Mi si lover gal incase you dont know
Sio kama yule demu ooh no
Na kama njiwa anavyopepea
Roho yangu unaiilemea
Kasura pia nako ulipokea
Naona Mungu kakupendelea
Basi nikumbatie hadharani
Unipe ya chumbani
We ni moto o
We ni moto
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Toka kwa jua njoo kwenye hema
Wamekutesa sana mi ndiye chanda chema
Nawapambe wale wasio penda mema
Wanatuombea vita CCM Chandema
Yaani we moto hauzimi
Na kwa maneno ya ulimi
Nishasadiki
Moyo kakupenda tu wewe
Basi nikumbatie hadharani
Unipe ya chumbani
We ni moto o
We ni moto
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya .. we nikama pete yangu

Facebook Comments

Trending Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *